Vitambulisho
Ithibati na Vitambulisho
Wahusika ni wadau wote wanaojishughulisha na shughuli zozote za filamu, michezo ya kuigiza, matangazo, biashara ya filamu, utayarishaji, uigizaji, uongozaji, utafutaji mandhari na shughuli nyingine kama hizo.
Hatua za Kupata Ithibati na Kitambulisho ni:-
- Kujaza fomu ya maombi
- Kuwasilisha fomu ikiwa na viambatisho vilivyoainishwa
- Kitambulisho kinatolewa baada ya maombi kuridhiwa
Ada
TZS 30,000/= kwa miaka 3