Dira na Dhima
Dira
Kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha ubora duniani katika masuala ya filamu na televisheni.
Dhima
Kuitangaza Tanzania kama eneo adhimu la upigaji picha za filamu kwa ajili ya uimarishaji wa uchumi na ajira kupitia uendelezaji wa sekta mahiri ya filamu na televisheni.