Habari
KAIMU MWENYEKITI WA KAMATI YA IDARA YA MAENDELEO YA FILAMU, DKT. ZILPAH OMBIJAH, AMEONGOZA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA KIKAO CHA BODI YA WAKURUGENZI YA BODI YA FILAMU TANZANIA KINACHOTARAJI

Leo, Jumanne ya Tarehe 17-06-2025—Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Idara ya Maendeleo ya Filamu, Dkt. Zilpah Ombijah, ameongoza kikao cha maandalizi kuelekea Kikao cha Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Filamu Tanzania kinachotarajiwa kufanyika hivi karibuni