Maktaba ya Picha
-
Utambulisho wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa,
kwenye ofisi za Bodi, tarehe 15 Disemba, 2020.
Imewekwa : April, 01, 2021
-
Kikao kazi cha pili na uongozi wa Shirikisho la Filamu na Vyama
kwenye ukumbi wa Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, 30 Machi, 2021.
Imewekwa : April, 01, 2021
-
Kikao cha Washereheshaji
katika ukumbi wa Dar City Mall jijini Dar es Salaam, 17 Machi, 2021.
Imewekwa : March, 23, 2021
-
Mhe. Innocent Bashungwa alipowatembelea Watayarishaji wa Tamthilia ya Tunu,
Katika hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam, tarehe 14 Machi, 2021.
Imewekwa : March, 23, 2021
-
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Dkt. Kiagho Kilonzo alipowatembelea Watayarishaji wa Tamthilia ya Pazia
Mikocheni jijini Dar es Salaam, 11 Machi, 2021.
Imewekwa : March, 23, 2021
-
Tarehe 8 Machi, 2021, ufunguzi wa mchakato wa kupokea andiko/ mapendekezo (proposal) ya kuomba ufadhili wa kutegeneza filamu.
unaotolewa na Dstv Tanzania. Protea Hotel jijini Dar es Salaam.
Imewekwa : March, 23, 2021