Leseni
- Watendaji wote katika filamu, wafanyabiashara, majumba ya sinema na studio zinatakiwa kusajiliwa na kupatiwa leseni ya uendeshaji wa shughuli zao kutoka Bodi ya Filamu Tanzania.
Leseni, Ada na Vibali
- Leseni kwa watandaji wa filamu (wasambazaji, waoneshaji na wauzaji) ni TZS. 500,000/= kwa mwaka.
- Kibali cha kuonesha filamu:
- Majumba ya sinema ni TZS. 500,000/= kwa mwaka
- Maeneo mengine ni TZS. 200,000/= kwa mwaka
- Maeneo madogo (Vibanda umiza) ni TZS. 36,000/= kwa mwaka