emblem

Bodi ya Filamu Tanzania

Tanzania: Mandhari nzuri kwa Utayarishaji wa Filamu

Habari

UZINDUZI WA KIPINDI CHA BINGWA


Meneja wa kitengo cha uhakiki wa Filamu kutoka Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Boppe Kyungu amehudhuria katika uzinduzi wa kipindi au "reality show" ambayo imeandaliwa na startimes pamoja na kampuni ya kubashiri ya parimatch maarufu kama Parimatch bingwa msimu wa tatu Katika ukumbi wa Serena jijini Dar es salaam.

Aidha Bi. Boppe ambaye alimuwakilisha Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Dkt. Kiagho Kilonzo amewasihi waandaaji wa Tamasha hilo pamoja na waandaaji wengine wa maudhui ya picha jongefu kuhakikisha wanazingatia maadili katika kuandaa kazi zao.