Habari
UTATUZI WA SOKO LA FILAMU
Katika kuendelea kutatua changamoto ya soko la kazi za Filamu nchini, tarehe 21 Septemba, 2023 Bodi ya Filamu Tanzania imekutana na wadau wa Filamu kwa kushirikiana na Chama cha Wasambazaji (TAFDA) ili kujadili na kupanga mikakati sahihi ya kufikia masoko ya uhakika ya kazi hizo.