Habari
TUZO ZA FILAMU MOROGORO 2023

Kilele cha Tamasha la Tuzo za Filamu Morogoro 2023 zilizofanyika tarehe 10 Septemba, 2023 Mkoani Morogoro ambapo mgeni rasmi alikuwa Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Dkt. Kiagho Kilonzo tarehe 10 Septemba 2023 aliyemwakilisha Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro.