emblem

Bodi ya Filamu Tanzania

Tanzania: Mandhari nzuri kwa Utayarishaji wa Filamu

Habari

TAMASHA LA FILAMU ZA SAUTI


Mgeni rasmi wa Tamasha la Filamu la Sauti zetu ambaye pia ni Meneja wa Kitengo cha Mipango na Masoko kutoka Bodi ya Filamu Tanzania Bw. Goodluck Chuwa, akikabidhi Tuzo ya Heshima kwa mwakilishi wa kituo cha Televisheni cha ITV kufuatia mchango wa kituo hicho katika kuendeleza Sekta ya Filamu na Michezo ya Kuigiza nchini.

Bw. Goodluck Chuwa amemuwakilisha Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Dkt. Kiagho Kilonzo.