Habari
RAIS SAMIA APOKEA JARIDA LA FILMIKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgeni Rasmi kwenye Kilele cha Tamasha la Tatu la Utamaduni Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea nakala ya Jarida la Filmika kutoka kwa Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania DKT. Kiagho Kilonzo.
'FILMIKA' ni jarida linaloandaliwa na Bodi ya Filamu Tanzania kila mwaka.