Habari
KIKAO CHA BODI YA WAKURUGENZI

Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Filamu Tanzania imekutana kwa mara ya kwanza tangu Bodi hiyo mpya kuundwa. Bodi hiyo ikiongozwa na Mwenyekiti Dkt. Mona Mwakalinga imeweka mikakati ni jinsi gani ya kukuza Tasnia ya Filamu nchini na kufungua fursa ya masoko ili wadau wanufaike kutokana na kazi zao.