Habari
HAPAwards Dar es Salaam 2024
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Taasisi kutoka Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Asha Ngatila (kulia), akimkabidhi Tuzo Muigizaji Mariam Ismail katika Tuzo za The Hollywood and African Prestigious (HAPAwards) zilizofanyika katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki, jijini Dar es Salaam, tarehe 10/08/2024.