Maktaba ya Picha
-
Jamafest 2019
Tamasha la nne la Utamaduni la nchi wanachama wa Afrika Mashariki (JAMAFEST) lililofanyika nchini Tanzania kwenye viwanja vya Uwanja wa Taifa Septemba 2019.
Imewekwa : April, 02, 2020
-
Jukwaa la Wasambazaji na Wazalishaji Maudhui
Jukwaa la wasambazaji na wazalishaji maudhui (BDF), lililofanyika septemba 2019 katika ukumbi wa Nkuruma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Imewekwa : April, 02, 2020