emblem

Bodi ya Filamu Tanzania

Tanzania: Mandhari nzuri kwa Utayarishaji wa Filamu

Maktaba ya Picha

  • Ufuatiliaji wa Filamu zisizofuata utaratibu wa Bodi ya Filamu Tanzania.

    Uliofanyika Kariakoo jijini Dar es Salaam.

    Imewekwa : March, 23, 2021

  • Uzinduzi wa televisheni mtandao ya Airtel

    Uliofanyika katika ofisi za Bodi ya Filamu Tanzania, Kivukoni Jijini Dar es Salaam.

    Imewekwa : March, 23, 2021

  • Kikao na Viongozi wapya wa TAFF

    Kikao na Viongozi wapya wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), uwanja wa Benjamion Mkapa jijini Dar es Salaam.

    Imewekwa : March, 23, 2021

  • Kikao baina ya TFB, TRA na TANAPA

    kujadii namna bora zaidi ya kufanya kazi na watayarishaji wa filamu kutoka nje ya nchi

    Imewekwa : June, 13, 2020