emblem

Bodi ya Filamu Tanzania

Tanzania: Mandhari nzuri kwa Utayarishaji wa Filamu

Benson Mkenda

News Image
BENSON MKENDA ni mhitimu wa Shahada ya Sanaa ya Utamaduni na Urithi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam, ni kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sekta ya Filamu. Kabla ya kujiunga na Bodi ya Filamu Tanzania, alikuwa ni muajiriwa wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kama afisa Maendeleo Utamaduni. Ndugu Mkenda alihudhuria mafunzo ya muda mfupi ya kitaaluma kwenye Uhandisi wa Sauti na kutunukiwa cheti cha Mhandisi wa Sauti na Ubalozi wa Uingereza Tanzania. Pia alihudhulia mafunzo ya muda mafupi ya kitaaluma ya Special Effects na Mbinu za Uhariri wa picha jongevu na kutunukiwa cheti cha mafunzo ya Special Effects na Mbinu za Uhariri wa picha nyongevu na Center for Development of Advanced Computing (CDAC) India.