Clarence Chelesi

CLARENCE VENANCE CHELESI ni mhitimu wa Shahada ya Anthropolojia ya Sanaa na Utalii aliyotunukiwa na Chuo Kikuu cha Iringa awali kilichojulikana kama Chuo Kikuu cha Tumaini, ni Afisa Maendeleo ya Filamu katika Bodi ya Filamu Tanzania tangu 2013. Ndugu Chelesi alizaliwa mwaka 1985. Alihudhuria mafunzo ya muda mfupi ya Sanaa ya Ubunifu yaliyoandaliwa na Baraza la Sanaa mwaka 2014.