emblem

Bodi ya Filamu Tanzania

Tanzania: Mandhari nzuri kwa Utayarishaji wa Filamu

Habari

THE COMING FILM STARS


Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi akiwaasa Waigizaji namna bora ya kukabiliana na changamoto za umaarufu na kufanya kazi kwa bidiii katika mafunzo yaliyoanzishwa na Bodi ya Filamu Tanzania (THE COMING FILM STARS) kwa lengo la kuwajengea msingi wa weledi katika fani yao na maisha kiujumla.

Mafunzo hayo yamefunguliwa rasmi Tarehe 02 Juni, 2022 ambapo yatakuwa yanafanyika kwa njia ya mjadala zaidi walau mara moja kila mwezi, na yatahusisha Mameneja na Maafisa masoko wa baadhi ya Makampuni yanayowatumia Wasanii kama mabalozi wa bidhaa zao ili kuwapa elimu ya masoko na kinachohitajika kwa Msanii ili awe na sifa ya balozi.

Tanzania Census 2022