emblem

Bodi ya Filamu Tanzania

Tanzania: Mandhari nzuri kwa Utayarishaji wa Filamu

Simon Peter

News Image
SIMON SEMIONO PETER ni mhitimu wa Shahada ya Uzamili ya Sanaa (Stadi za Maendeleo ya Jinsia) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2012, ni kaimu Meneja Masuala ya Walaji katika Bodi ya Filamu Tanzania. Ndugu Simon pia alitunukiwa Shahada ya Sanaa (Utamaduni na Urithi) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Amehudhuria mafunzo mbalimbali ya muda mfupi yaliyoandaliwa na Chuo Kikuu cha Helsinki kupitia UNZA (Lusaka), Baraza la Sanaa na Utamaduni la Uingereza (Tanzania) na AGEM (Chuo Kikuu cha Dar es salaam).