Xavery Mhyella

XAVERY PETER MHYELLA ni mhitimu wa Shahada ya Uzamili katika Manunuzi na Ugavi ambayo ametunukiwa na Chuo Kikuu cha Mzumbe mwaka 2014, ni kaimu Mkuu wa Kitengo cha Ugavi Bodi ya Filamu Tanzania. Ndugu Mhyella amezaliwa mwaka 1966 Muheza, Tanzania.